Huu ndio ujumbe wa Diamond Platnumz kutoka BET Awards Welcome Party huko Los Angeles, Marekani.
Wakati Diamond Platnumz akiwa buzy huko Los Angels kwenye welcome party ya BET Awards, huku nyuma Tanzania hakuwa mchoyo wa maneno, hasa pale alipopata taarifa kwamba ameondoka na tuzo jana usiku, Tuzo za watu, ikiwa video ya Mynumber1 ndio imeshikilia kama video bora ya mwaka inayopendwa zaidi na watu. Read more . . .
