Monday, 30 June 2014

Diamond Platinumz At BET Awards

Huu ndio ujumbe wa Diamond Platnumz kutoka BET Awards Welcome Party huko Los Angeles, Marekani.

10520175_766355566750736_766297871_n
Wakati Diamond Platnumz akiwa buzy huko Los Angels kwenye welcome party ya BET Awards, huku nyuma Tanzania hakuwa mchoyo wa maneno, hasa pale alipopata taarifa kwamba ameondoka na tuzo jana usiku, Tuzo za watu, ikiwa video ya Mynumber1 ndio imeshikilia kama  video bora ya mwaka inayopendwa zaidi na watu. Read more . . .

Related stories

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...