Huu ndio ujumbe wa Diamond Platnumz kutoka BET Awards Welcome Party huko Los Angeles, Marekani.
Wakati Diamond Platnumz akiwa buzy huko Los Angels kwenye welcome party ya BET Awards, huku nyuma Tanzania hakuwa mchoyo wa maneno, hasa pale alipopata taarifa kwamba ameondoka na tuzo jana usiku, Tuzo za watu, ikiwa video ya Mynumber1 ndio imeshikilia kama video bora ya mwaka inayopendwa zaidi na watu.
“Nazidi kumshukuru Mungu,kwa kila hatua njema niipigayo ,Nawashukuru mashabiki wangu wa kweli mnaonipa sapoti inayonipa nguvu ya kukaza ili niwafanyie vizuri kila siku,kura zenu zimeipa kibari video ya number 1 kuwa video inayopendwa zaidi,niwashukuru Bongo 5 ,Mama angu,team yangu ya wasafi ninayokesha nayo usiku na mchana kuhakikisha unapata kile unachostahili..na wote wanaoshiriki kwa namna moja ama nyingine kuniweka hapa nilipo .AHSANTENI.Good day“-alifunguka Diamond akiwa huko Los Angeles nchini marekani kwenye party ya kuikaribisha tuzo za BET, moja ya harakati zake za kuiwakilisha tena Tanzania kwenye ulimwengu wa muziki.
Sad News, The famous Bongo movies director and producer Mr. George Otieno Tyson is Dead. After tragic road accident involving him and Mboni show crew. The other seven (7) victims in the van survive the accident except Mr.George Tyson. According to the source (djchokamusic.com) Four hours before his death, he was in Chilonwa Village @Chamwino with Mboni show crew donating desks to Chaula Primary School found in Dodoma. On his way back to Dar near Morogoro region where accident occurred, during this time the deceased body is finally in Dar from Morogoro ready for the burial. As remembered Mr. George Tyson was Monalisa's husband and they had one kid before their divorce. It's another big loss to Bongo Movies industry and to the family of Mr. George Tyson. R.I.P George Tyson We will always remember you! AMEN!
![]() |
| Four (4) Hours Earlier before his Death |
![]() | |
| Mboni & George Tyson @ Chaula Primary School (Dodoma) |
![]() |
| After The accident |
Rear View






